Heshimiwa msaikolojii,

Nina shangaa kwamba kwanini siwezi hapa Finland kufikiri kamili wakati niko katika masomo. Mimi ni mtu mkubwa na nimekuwa na kumbuko mzuri. Sasa nasikia kama siwezi kukumbuka sana zile vitu nilicho soma siku mfulani. Kesho yake najisikia kama inabidi kuanza tena toka mwanzoni. Naijua kwamba usumbufu ya maisha inafanya kwamba mtu anapata shida ya kufikiri sawa na kukumbuka na kujifunza pia. Katika maisha yangu nimekuwa na mambo magumu na nilikuwa kwenye gereza nchi ya zamani nilipokaa na mambo mabaya mbali mbali kimetokea. Sasa najaribu kusukuma mambo haya mabaya pembeni ili niweze kuanza kuishi maisha mpya hapa. Naishangaa kwamba kwanini sasa wakati kila kitu iko sawa mimi niko na shida ya kufikiri sawa wakati wa masomo. Nimeanza kuogopa kama niko na ugonjwa ilioendelea kwamba nitaanza kupoteza kumbuko? Nimesoma kuhusu ugonwa ya Dementia na Alzheimer. Katika familia wetu sisi hatuna hii ugonjwa. Inawezekana kwamba kumbuko ya mtu inaharibika kwasabu ya teso?

Mpenda mwulizaji,

Ni kweli kwamba mambo magumu ya roho vinaumiza kama teso na mambo mengine ya uzoefu ya pigano vinaweza kufanya matokeo kwenye akili. Vinaweza kuonekana kama kwenye njia fahamu kufanya kazi yake au sehemu za kufikiri kamili na kujifunza mambo. Uzoefu kama haya kinacho haribu vinaweza kufanya onyo mbali mbali. Kama kitu kibaya kilicho tokea kinaweza kurudi kichwani mara kwa mara na kufanya  kitu kama maono ya dhiki. Kuota mambo mabaya ni kawaida pia. Mara nyingine mambo vilivyo tokea vinarudi kichwani mara ya pili. Mtu ambyo ana usumbufu ya mambo magumu na haya kurudia kichwani anasikia kwamba mambo yana songa sana na anajaribu asifikiri haya mambo, asiongee kuhusu haya mambo kama wewe umeleza kwenye barua yako. Mara nyingine mtu anapata shida ya kukumbuka mambo mabaya kilichotokea na inakuwa kama imefutwa kabisa kutoka kichwani. Kukuwa na watu wengike unaweza kusikia ngumu tu na unaweza kusikia kama maono mazuri kimepotea kabisa. Maisha inaweza kuhuzunisha sana, hakuna tumaini. Tena huweza kuwa na shida ya kupata usingizi. Inaweza kuwa ngumu kupata doto au unaamka mara kwa mara. Ile ulivyo sema kuhusu shida ya kukaza kufikiri ni kawaida pia. Mtu anaweza kusikia kama kukasirika na kusikia msisimko hata bila sababu. Hata unaweza kusikia kama mtu anakufuata wewe barabarani, unaweza kustuka kitu kwa urahisi kama sauti kubwa. Onyo ya mwili kinachotokea mara kwa mara ni mauvivu ya tumbo, mauvivu ya kawaida ya mwili na mauvivu ya kichwa. Kama onyo kama haya na shida ya kukumbuka kitu ulivyo eleza kimechukua zaidi ya mwezi moja baadaya kusikia mambo magumu katika maisha tunaweza kusema ni usumbufu ya kitu kilicho tokea kwa ghafula. Mara nyingine onyo vinapotea na vinaanza tena katika muda mfulani ya maisha.

Unaweza kueleza kuhusu shida yako kwa daktari. Kumbuka kusema pia kwamba onyo tulivyo eleza hapa juu ni kawaida kwa we pia. Kama ni peke yake shida ya kukumbuka kitu inawezekana kupimwa pia kwa njia ya kipimo ya msaikoloji wapi dakatari anaweza kutuma. Kitu kimoja ambayo ni shida ni kwamba kipimo ya wasaikoloji haiwezekani kuamini kabisa wakati wanapima mtu kutoka utamaduni tofauti. Kupata pointi na maneno wamefanya lakini kwa luhga ya Kifini. Maono lakini na habari zaidi inawezekana kupimwa kwa njia ya kufanya hii kipimo.

Tahamaki lakini kwamba pekeyake kuhama tu utamaduni mpya na majigira mpya inaweza kuwa kitu kigumu kwa kichwa ya mtu na kitu kama kukumbuka na kusahau sahau kinaweza kutokea pia. Akili imejaa na mawazo kwasababu ya vitu vingi ya kujifunza. Kuna mambo mengi sana ya kufanya mwanzoni hasa kwa mkimbizi. Baadaya ya hiyo kuna kazi ya kujifunza luhga mpya mgumu. Mtu si mashine lakini. Wakati habari kuna nyingi sana kumbuko ya mtu na kukaza kufikiri inaanza kuchoka hata kwa kila mtu. Mantiki kama haya ni kawaida tuseme kwa mfanyakazi aliofanya kazi sana na ambayo ana haraka kila wakati.

Kama kwa wewe wanapima na wanapata jibu kwamba uko na shida ya kukumbuka kitu kwasababu ya mambo uliosikia siku za nyuma kupata tibu unahitaji muda na uvumilivu kutoka upande wako pia. Kwa matibabu mara nyingi wanatumia dawa pamoja na mazumgumzo. Kazi ya matibabu ni kupunguza onyo ulioelezwa mbele. Kupata maendeleo katika mantiki inaweza kukuja pole pole kwamba akili inatulia na kukumbuka na kufikiri kamili inapona. Kwa hiyo uanze kuenda kwanza kwa daktari wako.

Sirkku Suikkanen
Msaikoloji

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика