Mpendwa Mama msaikoloji, ninakuuliza wewe kuhusu jambo moja. Nime hama na mke wangu na watoto wangu hapa Finland kama wakimbizi miaka tano iliopita. Nime soma lugha ya Kifini na kwa sasa uwezo wangu ni nzuri kiasi na ninafaulu katika shuhuli mbali mbali kama; kwenye benki, dukani, huduma kwa wahamiaji, kela na ofisi ya kazi. Zamani nilikuwa na kazi na nili kuwa mtu wengine waliniheshimu katika nchi yangu ya zamani na mji nilipokaa. Tena mambo yalitokea kama yalitokea na tulipoteza kila kitu. Kwa miaka tuliishi bila vitu kabla ya kufika Finland. Nilikuwa lakini bwana wa familia, nilfanya shuhuli zote za familiana nilichunga kwamba kila kitu kilikuwa sawa. Baadaya yakufika huku nimekuwa mtu moja kama mkimbizi ambayo anakimbia kutoka ofisi moja kuenda ofisi nyingine. Kazi sijapata hata kama nimetafuta kutoka sehemu mbali mbali. Mke wangu alipata kazi lakini na sasa ameanza kazi kama msaidizi. Inaonekana kwamba mke wangu anajitaidi haraka kuliko mimi. Amejifunza kazi pia kwa upesi na sasa anaongea vizuri zaidi kuliko mimi. Vile watoto wa familia pia wanaongea lugha vizuri. Mara nyingine wananicheka kama siwezi kusema neno mfulani vizuri, hii inanifanya kwamba nakasirika.

Hapa Finland kila moja anapata pesa ya kutosha ambayo ni kitu kizuri. Kitu kibaya ni kwamba ile kitu kwamba familia wetu si tena moja imeharibika kwasababu ya pesa. Sasa kila moja anataka kufanya njia yake kama anavyotaka. Kama najaribu kuongea kuhusu njia nzuri ya kutumia pesa hawanitaki kusikiliza. Watoto wako kila wakati vitu vya bei gali wanavyotaka na inaonekana kwamba wanafikiri kicwa chao tu. Wakati naongea kuhusu mawazo wangu hawataki kusikiliza. Ni kweli kwamba wanasikia uzuni kuhusu wajamaa walio na shida. Wamekuwa tofauti lakini kuliko kama wameihsi nchi tulipotoka. Sasa nasikia kwamba nimepoteza mamlaka ya familia wangu na nime elewa kwamba sita pata tena heshimu ya zamani maishaini wangu. Nimepoteza kila kitu: nyumba, bustani, gari na maisha mzuri. Sasa nasikia kama niko kupe ya nchi na hakuna mtu aliotaka kujua nilikuwa nini zamani. Siku moja wakati mtoto moja Kifini alisema na akacheka barabarani ”toja nje we mweusi” mimi nili sikia kama sina nguvu. Tena yeye alikuwa mtoto mdogo kabisa kama mtoto wangy ya mwisho. Mara nyingine nasikika kama maisha ingekuwa rahisi kama tunge kufa wote wakati hio roketi ilipiga nyumba yetu. Haki ya mungu ilikuwa lakini tofauti na sasa inabidi kusonge mbele t uhata kama tumepoteza kila kitu. Lakaba ”aliopoteza kila kitu”

Mpendwa lakaba ”aliopoteza kila kitu”. Asante kwa mwandishi wako kwenye hii ukurasa. Nina amini kwamba wanaume na baba wengi walio na mantiki ya maisha kama wewe wanasikia sawa na wewe. Umepata kuzoea mabadiliko kubwa. Wakati kufikiri kila kitu ulivyo poteza ni kawaida kusikia uzuni na unakumbuka sana. Ni kawaida pia kusikia kama kukasirika mbele ya kila kitu inavyo bidi ufanye na kama kuna stress inaweza kusonga kama shirika inasubiri. Kupata muda ya zamani irudi haiwezekani na haiwezekani kusimamisha muda wa sasa. Mabadiliko madogo yatakuja kila siku wakati wa muda wa mbele hata mambo mazuri pia. Watoto wanakuwa na wanaendelea, maisha inaleta mambo mapya kwa watu wa familia wako. Ingekuwa mzuri kubaki wapi uko kila kitu ilikuwa sawa. Kwa nyinyi kitu ambayo ilileta badiliko kubwa ni kitu ambayo nyinyi hamkuweza kufanya kitu kama mambo ya nchi ulioishi na kukuwa kama mkimbizi. Kuhama kwenye nchi mpya na kuzoea utamaduni mpya ni badiliko kubwa kwa kila mtu na kuzoea italeta kazi nyingi. Kupona kutoka mambo makubwa kama kupoteza kitu inafanya kwamba inabidi ujenge ukinaifu mpya na kwenye mambo mapya. Kwa nyinyi kitu au kazi mpya bado hajaoekana. Kitu ambayo inaleta furaha au kazi ambayo unapenda kufanya. Bado inawezekana lakini kwamba kazi yenu inaendelea Finland kwa njia mfulani. Kama ulivyoeleza hapa si lazima kuwa pekeyako kufaulu kuishi. Kama shida itakuja serekali itakupa msaidizi kwa mfano msaada wakati uko bila kazi na huduma ya afya na za jamii. Wafini wengine wako bila kazi kwa muda mrefu pia na kwa kawaida si shida ya mtu au kitu anavyotaka. Nyinyi pia labda mnafikiri kuanza kusoma tena kwa njia huo kutafuta kazi mpya. Ufurahie kama mke wako amabahatisha kuendelea njia zake. Umpe moyo na usaidie yeye kwa njia zote. Inawezekana baadaya ya muda kupita mnapata kazi tofauti kuliko umezoea. Kwenye familia ya hapa Finland ni kawaida tu kwamba wazazi wote wanafanya kazi. Baba anaweza kukuwa wakati ako kazini kwamba anabaki nyumbani kuchunga mtoto. Kila familia na ndani ya familia kila moja anapanga njia yake. Tena jamii ya nje ya familia inavuta katika mahitaji ya mtu na familia. Watoto na wawijana wanaona hapa tabia tofauhi na wanataka kuzoea kama wawijana na umri yao. Hii ni kipindi ya umri ni kawaida kwa wawijana. Njia hiyo pia watu wa kubwa hawasikii kama wako nje au kama mtu hahitaji, hapati heskimu au hewezi kufanya kitu chake vizuri. Unaongea kama umepoteza tazamo katika hali ya familia. Uangalie hali kutoka upande mwingine; tabia yako kukuwa kama mkuu wa familia imebadilika na nchi ndiyo inasema ufanye nini. Kazi yako ni zaidi kama mko sawa na mke wako kuliko bwana anakuwa pekeyake mkuu wa familia. Kama baba bado unachunga kwamba mtu havuki mpaka mfulani ya usalama lakini kazi yako pia ni kupa moyo kwa mtoto na pia kufuata maendeleo yao na maisha yao. Watoto kujifunza lugha na kuzoea kuishi kwenye nchi mpya na tabia zao inaendelea kila wakati haraka kuliko ya watu wakubwa. Pia hii kitu ya kuzoea si ya chini kabisa lakini bado ya juu tu. Huwezi kuacha kueleza tabia ya utamaduni yako kwa watoto wako kwasababu hii ni kazi moja kama ya baba. Kitu kimuhimu labda ni kufikiri njia gani unaongea kuhusu jambo. Wakati wa kuongea kuhusu wajamaa wamaskini au utamaduni ya nchi unapotika na kama watoto kila mara inabidi wasikie hatia kuhusu mambo wanavyotaka, inaweza kukuwa kitu ambacho inasonga sana. Jaribu kuachana haya mambo mawili. Ni kweli kwamba inabidi watoto wajifunze kwamba pesa iko kiasi mfulani na kwamba hawawezi kupata kila kitu wanavyotaka. Kama hawajui hii kitu namna gani wanaweza kuishi pekeyao siku moja kwenye nyumba zao. Pia vile maendeloa ya kimwili ni muhimu kwamba wanapata habari kwa njia yenu pia na wasikie mambo mazuri kutoka nchi wazazi walipotoka. Hali yenu sasa kama baba na mume inakuleta mambo mazuri sana katika maishani yako. Kwa mfano kama hali katikati ya nyumba na shule na shirikiano hapo unaweza kufanya kazi na unaweza kuingia katika kila hali inavyo patikana. Shirikiano hii yote pamoja na Wafini inakufungua milango kujua nchi ya Finland na tabia yake.

Mara nyingine kusikia uzuni inachukua muda mrefu na wakati huo ni vizuri kama utaweza kuenda kuongea na msaikoloji au kama daktari anaweza kusaidia. Wote wanapatikana katika kituo cha afya karibu unapoishi na upange muda tu pila kuogopa. Ninakukupa moyo kwa Wewe kufikiri daraka la kazi yako na uwezo gani inapatikana. Hata kama umepoteza mambo mengi sasa milango mapya iko wazi kwa Wewe kama mwanaume. Na siku za mbele utakuleta uwezo nyingi zaidi.

Sirkku Suikkanen
msaikoloji

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика