Mpendwa msaikoloji,

Mimi niko na shida ya kulala. Sipati usingizi jioni kabla ya saa kufika saa nane usiku. Tena na amka baadaya saa mbili ikisha pita. Kuenda kwa masomo inabidi kuenda asubuhi mapema. Inabidi niamke asubuhi mapema nikitaka kuwahi na nisi chelewe basi. Nime kuwa nimesikia ushofu sana. Katika masomo nalalalala/  sinzia na siwezi kufikiri kamili na sina nguvu ya kusikia mafundisho vizuri. Mara nyingine nalala kwa muda mfupi wakati nafika nyumbani na jioni tena sipati kulala. Kichwani kuna mambo mengi yana sunguka na mara nyingi shida kuhusu maisha.

Mpendwa ulizaji

Shida ya kupata usingizi ni onyo ya kawaida tu. Imekadiriwa kwamba Finland hata asili 20 % wako na shida ya kupata usingizi kwa kipindi mfulani au kipindi kirefu. Madawa ya kupata usingizi ni dawa moja ya kawaida ya kutumia nduniani. Shida ya kupata usingizi ni onyo inavyosumbua na ikiendelea kwa muda mrefu inaweza kusumbua maendeleo, afya na hata kutoa hamu ya kuishi. Shida ya kupata usingisi kwa kipindi mfulani kama siku chache ni kawaida kwasababu ya stress katika maisha kama stress ya mwili au kichwa. lakini mara chache tu inahitaji tibu au dawa.  Hata wakati huo inasumbua sana na inaweza kuleta hofu ya kuogopa pia. Kuhusu maswali yako ni ngumu kujua kama kama shida imeendelea kwa muda mrefu na kama kuna mazazo mengine pia kuliko kuhama Finland.

Katika maisha ya mkimbizi au kuhama nchi ambayo hujui inaleta uzito mbali mbali. Katika mantiki ambalo hujui vizuri kuna mambo mapya unayokuta kila siku na ile inaweza kuchocha mshipa.  Mantiki ya maisha kama hii inaweza peke  yake kufanya kwamba hupati usingizi. Kwa watu wengi shida kupata usingizi imeweza kuanza hata kabla ya kuhama Finland tuseme kama kuna uzoefu kimeshtuka sana au kama kuna mawazo magumu ya kichwa kilicho endelea muda mrefu.

Wakati mtu hapati ndoto sehemu ya bongo tuna sema ”idara ya kulala” hawezi kushinda ndani ya bongo ”idara ya wa macho” ambayo inafanya kazi sana wakati muda wa kawaida ya kuanza kulala inakaribia. Siku za zamani walifikiri kwamba shida ya kupata usingizi ilikuwa pekeyake onyo ya kicwa. Wameona kwamba hata watu ambalo hawana shida na kichwa wamekuwa na shida ya kupata usingizi pia. Shida ya kupata usingizi inaweza kuwa pia mgonwa ya kiungo pia.

Mkazo ya kiroho, mawazo ambalo kinasunguka kichwani, shinikizo ya kazi, mawazo kuhusu familia, dhiki ya kicwa na mara nyinki kama mtu anafariki karibu wako yanaweza kufanya kwamba mawazo yana sunguka sana kichwani ambayo inafanya kwamba idara ya wa macho inafanya kazi na inazuia usingizi kufika. Kama hii ni jibu kwa shida ya kupata usingizi hali inaweza kupona mwenyewe pekeyake. Kusaidia unaweza kutumia tibu yako au mara nyingine kutumia dawa pia. Dawa ya kupata usingizi ya siku hizi tunaweza kupata jibu nzuri kama kuna shida ya kupata usingizi kwa mud mfulani. Msaidizi ni lakini kwa mfupi tu na kutumia dawa ya kupata usingizi kwa siku nyingi infanya kwamba mwili inazoea na nguvu ya dawa inapungua. Njia ya kutumia pekee kwa ajili ya shida ya kupata usingizi kwa muda mfulani unapata shauri mwishoni wa karatasi hii. Wakati shida ya kupata usingizi inaendelea siku nyingi au wiki kwenye urari ya mwili kuna mabadiliko kwasababu ya upungufu ya usingizi. Upande mfulani wa mshipa yana fanya kazi sana. Mantiki kama hii ni mfano wakati mtu ana shida na mawazo mengi sana na inafanya kwamba kuna shida kupata usingizi. Kama ndoto si ya kawaida inasumbua na hormons ya mwili pia. Ile inaweza kufnya kwamba onyo yata kuwa mbaya zaidi.

Lini ni mzuri kuenda kwa daktari? Kama shida ya kupata usingizi inaendelea wiki nyingi au miezi mingi na vitendo ya kuisaidia kupata usingizi haisaidii.  Kama shida kupata usingizi unasumbua kufaulu mambo makawaida ya kila siku  Kama shida ya kupata usingizi kuna onyo kama: uzito nyingi ya mawazo, kitu kina songa, kulala lala wakati wa mchana, mauvivu inayoendelea. Kama kuna onyo kama haya inabidi kuenda kupata msaidizi kutoka kituo cha afya; nesi, mganga wa kawaida au kutoka hodari wa afya ya akili.

Shida ya kupata usingizi na matibabu yake inaweza kubadilika kidogo. Madawa na ya nguvu kipindi kifupi kinasaidia kwa shida ya kupata usingizi muda mfupi. Kwa shida mreferu ya kupata usingizi madawa haya haisaidii sana. Wakati huu inabidi kumpa matibabu kwa ile kitu ilivyo fanya kwamba kuna shida ya kulala kwa hiviyo ni mwili mzima. Matibabu mzuri imepangiwa kwa kila mtu njia tofauti kwasababu sababu ya shida ya kulala ni tofautu na matokeo ni tofautu pia. Kawaida matibabu ya ajali na uwezo ya kupata mdundo ya kila siku inaweza kuchukua wiki chache. Baadaya ya hiyo wana kaza kufikiri kipindi mpya ya shida kulala kuanza tena. Uwezo ya kupata shida ya kulala ina baki lakini. Mara chache ni lazima kuitumia madawa ya muda mrefu.

Sirkku Suikkanen
msaikoloji

MATIBABU YA NYUNBANI KWA SHIDA YA KUPATA USINGIZI:

Kanuni tatu inayofuata vinasaidia upate usingizi taratibu. Baadaya muda kupita unajisikia uchofu kila siku muda mfulani. 1. Uende kitandani wakati unajisikia uchofu.
2. Amka kitandani kila siku karibu saa mfulani, hata watati ya wikiendi.
3. Usilale wakati wa mchana.

Maelezo mengine muhimu:
4. Usi kunywe ulevi saa mbili kabla ya kuenda kulala.
5. Usichukue chakula au kinyaji mwenye coffeine (kama chai au kahawa) saa chache kabla ya kuenda kulala.
6. Usivute sigara saa chache kabla ya kuenda kulala.
7. Fanya mazoezi mara kwa mara. Muda mzuri ya kufanya mazoezi ni baadaye mchana. Usifanye mazoezi baadaya ya saa 12 (18.00).
8. Ufanye chumba chako cha kulala na kitanda sehemu ya hamu kuhusu kulala wakati wa usiku. Angalia kwamba hali ya hewa, sauti mengine na mwanga ni mzuri.
9. Tulia kwa muda mfupi kabla ya kuenda kulala. Fanya kitu kinacho tuliza; soma, ongea au sikiliza muziki ya amani. 
10. Kama ukipenda kula chakula ndogo ya jioni kama mkate na maziwa. Kama unaamka katikati ya usiku, tafandhali usikule. Kama ukila unaanza kusikia njaa kila usiku muda mfulani na unaamka. 
11. Inuka kama hupati kusinzia baadaya saa nusu, uende chumba kingine kufanya kitu inavyo tuliza na rudi wakati unaanza kijisikia uchofu tena. 
12. Kusoma kitandani kinaweza kusaidia kupata usingizi hasa kama mwandishi ni butu.

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика