Mpendwa msaikoloji. Ulizo yangu ni si kitu cha kawaida. Tume hama Finland mwaka moja uliopita. Kila kitu ilibidi igeuke kwa mzuri. Maisha ilibidi kukuwa rahisi na maisha kuwa utuliwu. Pia mke wangu na mimi tuko wazee tayari. Mabadiliko ambayo tulisubiri sana ilileta kitu ambayo tunashangaa lakini. Tumeugua zaidi kuliko kawaida. Shida moja kikubwa ni kitu kwamba mke wangu ana hasira. Hata kama kitu kidogo inaweza kufanya kwamba yeye ana lipuka. Analaumu kuhusu amechoka sana na hana nguvu ya kufanya vitu ambayo zamani alipenda kufanya sana. Mambo kama haya ni kazi ya nyumbani kama kupika chakula au kutumia dawa kwenye chakula kitu kisioze. Ndani ya nyumba yetu ni chafu kuliko zamani. Kwa nguvu yangu yote nimejaribu kufanya na kutunza nyumba wakati yeye amechoka. Mara nyingi yeye anaonekana kama amesisimka na hachoki kulaumu wakati ameianza. Hii inatokea hata kama nimefanya kitu vizuri au vibaya. Tena hataki mimi nisogee karibu na yeye. Hata yeye hana nguvu kukuwa na watu wengine. Wakati wa usiku yeye mara nyingi anastuka na anatembea tembea kwa muda ya saa chache wakati mimi kulala inakatika. Anasikia kama ni joto sana na analeta hewa baridi kuingia nyumbani paka nyumba ni kama friza. Maisha kwa kweli imeanza kuwa nguvu sana lakini kuachana kwa sasa ni kitu kigumu zaidi. Inawezekana kwamba badiliko ni kitu ndani ya kichwa? Kwa njia gani niweze kusaidia mke wangu? Lakama Nataka Raha

Mpendwa Nataka Raha, asante kwa ulizo yako. Ni ngumu kujua kwa kweli ni kitu gani ulio anzisha mabadiliko ya hali na tabia ya mke wako. Wewe huelezi kama kwenye maisha yenu kuna kitu cha kupoteza/haraja kitu kama kuhama tu siku za karibu? Haya yanaweza kuwasha uzuni au kuleta mawazo mazito wapi mtu anajisikia kama ulivyo eleza mbele. Kwa mke wako kitu cha kuhama kutoka nchi ya zamani imekuwa maana gani? Kwa yeye mambo gani ilibadilika? Nyuma ilibaki kitu ambayo yeye alipenda sana au kitu ambayo ni kitu kimuhimu kwa yeye ambayo sehemu anapoishi sasa hivi haipatikani? Wakati mtu ameishi kwa muda mrefu ni ngumu kujenga mambo kuanza mwanzoni. Pia kupoteza kitu mtu anaweza kujisikia kama kitu nzito. Huelezi kwamba hali hii imeendelea kwa kipindi gani. Tabia ya mke wako inaweza kukukuwa ilivyo kwasababu ya sababu mengi. Inawezekana ni kitu ya kupata mawazo mazito, lakini inaweza kukuwa kitu cha ndani ya mwili pia. Mabadiliko ya homoni, wakati kukoma hedhi kwa mwanamke na mwanaume pia inaweza kuleta onyo kama umeeleza mbele. Wakati wa kukoma hedhi kwa ni tofauti kwa kila mtu kwa hivyo sijui kama mke wako amepita hiyo muda tayari. Kawaida kwa wanawake Wafini muda wakati siku za mwanamke zinaisha ni kama wakati wa umri 51. (habari imetolewa: www.terveyskirjasto.fi) Onyo yanabadilika sana kwa nguvu yake kwa kila mtu. Ulivyo eleza mbele kuhusu muda wa kutoa jasho sana, uchofu na mabadiliko ya hali ni yote ya kawaida. Pia lakini kwa usumbufu ya homoni yanaweza kukuwa onyo kama ya mbele kwa hivyo ni vizuri uende na mke wako kwa daktari katika kituo cha afya. Ueleze hali kwamba wanaweza kupima vizuri vipimo ya laboratorio.

Kusikia mawazo mazito kwasababu ya mabadiliko au ya kupoteza kitu/mtu inaweza kuonekana kama kukasirika, kusikia upungufu ya nguvu, hali ya kutojali kuhusu kufanya mapenzi, kama ya kulala vibaya au kama shida ya kufurahia na watu wengine. Inaweza kukuwa kwamba kuongea na mtu ambayo si rafiki huleta msaidizi wakati kuongea na Wewe nyumbani haiwezekani kwasababu ya kukasirika nakupoteza hasira. Wakati kwenye maisha mabadiliko yana tokea ambayo ni ya usalama ya mtu inaweza kuwasha stress hata kama mtu ni mzima kabisa. Maantiki ya jamii, ya fenda na mambo ya usaikoloji yana fanya kwamba namna gani mwanamke anajiskikia kitu cha kuzeeka. Kama onyo ya kila siku ulivyo eleza mbele yanasumbua mke wako na afya Yako itakuwa kitu kizuri kuenda kupata huduma kutoka daktari.

Sirkku Suikkanen msaikoloji

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика