Mpendwa msaikooji,

Ni kuhusu mtu wa familia ambayo nataka kuongea. Yeye amekuwa na shida ya mwili mbali mbali na shida ya mshiba kwa kipindi kama miaka kumi. Shida yake ni mauvivu ya mwili ambayo inabadilika mara kwa mara. Yeye ana mauvivu kwenye miguu, kiungo, kicwa, mgongo na kwenye mikono. Yeye ana shida ya kuhusu yeyuka ya chakula tumboni kila wakati akisha maliza kukula, anatoa gas ambayo ni ngumu sana, shida ya tumbo na hata mara chache kusikia kama kutapika. Mara chache anasikia kama kizunguzungu ya kichwa, shida ya kuona kamili na hata mara chache shida ya kusikia au kama kusikia kwamba mwili ina fa ganzi. Ndani ya miaka michache amepimwa sana hapa Finland na wamefanya picha mbali mbali na vipimo ya damu. Hawaja pata kitu ambayo ni tofauti na madaktari wanasema kwamba vipimo ya damu pia ni sawa. Pia mgazo wa damu na kolestrol ni mzuri ja majibu ya picha ni mzuri. Lakini anasema shida zake mara kwa mara hata kama anafurahia au anasikia uzuni. Sijui hata mtu moja ambayo ameenda kwa daktari mara nyingi kama yeye. Yeye mwenewe anasikia kama mgonwa na hana nguvu ya kumaliza wajibu yake lakini ana lalama ni mauvivu ambayo yanazuia. Familia wengine mameanza kusikia uchofu mara kwa mara. Wakati wa zamani kwenye nchi tulipo ishi na wakati dawa haikusaidia alienda pia kwa kinyeji. Mara moja walifanya operesheni kwa bure.. Madawa ya kutoa mauvivu amekula nyingi kupita madawa yote kwenye duka la dawa. Sasa nauliza, inawezekana kwamba kwenye shida kama hii kinaweza kuwa na shida ya roho pia kawati madaktari hawapati jibu kwenye nchi zote mbili?

Jamaa

Mpendwa ulizaji,

Kama ni kweli kwamba yeye hana shida ya mwili au kitu ambacho inafanya onyo inawezekana kwamba shida ni kiroho. Usumbufu ya roho ambayo inaonekana kama onyo ya mwili kuna za aina mbali mbali. Tunaongea kwamba ni shida ya somatisaatio. Kwasababu ya onyo ni ya mwili mteja anaenda kwa daktari kwasababu ya shida ya mwili na wana lalamka shida zao na omba wapime. Mara chache sana wana amini kwamba hii ni shida ya kiroho. Kwa hiyo ni shida kwa daktari pia ku mpa huduma ya psychiatria kwa mtu bila daktari asikie kama kuiumiza mteja.

Shida ya somatisaatio na kitu ambayo hawajui inatoka wapi. Shida huweza ku leta teso sana kwa mteja na kwamba hawezi kuendelea vizuri. Ni muhimu lakikini kuelewa kwamba mtu hachezi kwamba anayo mauvivu na hawezi kudhibiti onyo anavyo.

Hakuna tibu mfulni kwa onyo kama haya shida za kiroho ambayo inaonekana kama shida ya mwili. Mara nyinki tibu moja mzuri ya daktari inaweza kusaidia sana. Mteja anaweza kujifunza pia kuishi na anyo anavyo na kusaidia kidogo na dawa daktari aliokadiria. Mara nyingine kuongea na daktari inaweza mteja kuona kwamba mambo ya jamii na ya msaikoloji vinafanya kwamba njia gani anaposikia onyo. Kama ni shida ya familia ambayo ilioleta onyo ni muhimu sana kumkutana na watu wa familia wakati wa matibabu.

Sirkku Suikkanen
msaikoloji

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика