Kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu- kulazimisha kuoa/kuolewa kwa nguvu na kitu kingine ya kutumia nguvu kwa ya roho na ya mwili ndani ya familia au ya wajamaa.

Wapendwa wasomeaji ya mwandishi wa msaikoloji! Mara hii ni bila maswali kwa msaikoloji kama kawaida tunaongea kuhusu kitu ambacho kinatokea mara moja moja hasa katika wafamilia ya wahamiaji. Uhuru ya wachichana ya familia inawezekana kupimwa kwa nguvu sana kulinda kuhusu kutendea na nani au kuolewa na nani kwa njia ya kutisha au njia ya kutumia nguvu. Kama ni kitu kama hii ya kulazimicha tunasema ni kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu. Maana yake ni kitu cha kinyeji, jamii ya wanaume wapi wanafikiri kupata kuheshimu ni njia ya kutumia nguvu. Kwa njia hii kwa kawaida wamejaribu kutunza heshimu ya mwanaume na heshimu ya familia. Wameona kwamba heshimu inapata usumbufu wakati wanawake wana tambia mbaya au kuchagua mume mbaya. Kwasababu ya hiyo sasa kutumia nguvu kuhusu hesimu ya mtu ni kawaida wanawake ambayo wapepata kusikia kitisho. Kwa njia ya kutumia nguvu katika heshimu ya mtu wanajaribu kuzuia nakuumiza vishindo aibu kolicho tokea kwa mwanaume. Kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu, kulinda mtu kila siku na ku kutisha inadumaza maisha ya wachichnana na wanawake ya wahamiaji hata hapa Finland. Kutumia nguvu kuhusu heshimu ni kawaida familia au wajamaa na wanataka rudi kwa yule ambayo wanafikiri hana heshima. Kwenye mpigano ya kawaida ndani ya familia ni mtu peke yake aliokuwa na alioleta ugonvi.

Kunniaväkivalta- ugonvi ya kuheshimu,

Kulazimisha kuoa/ kuolewa

Kitu kimoja kuhusu heshimu na kutumia nguvu ni kulazimisha mtu kuoa au kuolewa. Katika utamaduni mengine tabia ni kawaida tu kwamba kufunga ndoa ni kitu cha familia. Ulaya wanaona lakini kwamba kulazimicha mtu kuoa/kuolewa ni kama kuharibu haki ya mtu hata mbaya zaidi kuliko kubaka ugoni mtu. Katika familia wengine wajamaa wanajribu kuzuia mtu asifanye kitu ambayo wanaona ni kitendo bila heshimu kwa njia ya kulasimisha mtu kuoa au kuolewa. Kama kijana aliohama nchini hakubali kuoa au kuolewa na mtu familia aliotaka shida inaanza. Katika Uingereza shirika la serekali la kulazimicha kufunga ndoa wanapata ripoti 300 kila mwaka kuhusu hii jambo. Kawaida wafamilia wanatoka kutoka Asia lakini mara nyingine hata kutoka Mashariki ya Karibu, Afrika na Ulaya. Mauaji kuhusu heshima ya mtu ya Fadime Sahindal mwaka 2004 na tangu hiyo sheria kimetokea ambayo inakataa kulazimisha mtu kufunga ndoa. Sheria inaleta uwezo pia kufuta batilisha ndoa ya mtoto chini ya umri 18 kama amesafiri na ametoka nchi kwa ajili ya kufunga ndoa.

Ulaya njia aina ya kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu wanafikiri ni kuvunja sheria na inaumiza haki ya mtu. Kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu wanaona inatisha haki hasa ya wanawake Waislamu waliohama nchini. Kwa muda mrefu katika kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu ilikuwa nguvu kufika kusaidia kwasababu wameona ni kitu cha tabia, mambo ya dini na wameona utamaduni tofauti wako na haki ya kutunza tabia zao. Siku hizi wameanza kukosoa maono ya watu vya Ulaya na culture relativism, ambayo inasema kwamba kitu cha kufanya kwa kila utamaduni ni sawa tu. Wameona kwamba hii inafanya kwamba watu wa serikali hawaoni hamu ya kusaidia wanawake kutoka utamaduni mbali mbali katika haki ya mtu ambayo inasaidia kutoa kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu.

Kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu kuna wanawake Waislamu ambayo wameanza hata kufungua mazumgumzo. Mfano moja ni mtu wa bunge kutoka Holland ambayo amehama baadaye Amerikani, mwanamke Msomali Ayaan Hirsi Ali. Katika kitabu chake Mtego wa bikira anakosoa sana culture relativism ya Ulaya ambayo inasema kila kitu ni sawa tu. Analaumu kwamba watu wa Ulaya wanaogopa kuingia na kusaidia kama haki ya mtu inaumizwa kwasababu hawataki kukuwa mbaguzi wa rangi.

Tukifikiri kabisa kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu pamoja na kitu cha kulazimisha mtu kuoa au kuolewa imekataazwa katika muungano mkataba ya haki ya mtu ambacho karibu kila nchi yana fuata. Katika nchi nyngi ya dunia kutumia nguvu kwa heshimu ya mtu kama kulazimisha mtu kuoa au kuolewa imekubaliwa hata kama sheria au watu wa serekali wa juu wakisema tofauti. Mara nyingi mwanaume ana haki ya kupiga mke wake na kulazimisha kufanya mapenzi au kufanya mtoto. Kua mtu kwasababu ya heshimu ya mtu na kuumiza mtu vibaya sana imemarufuku lakini karibu kila sehemu na mara nyingi mtu anapata adhabu ngumu. Lakini hata wakati huo kila mwaka kuna mambo wapi yule aliokosa hakakuweza kuleta mbele ya sheria. Shirika la haki ya watu inasema kwamba hii ni kwasababu watu waafisa wa karibu hawana uwezo au hawataki kufanya kitu.

Namna gani ya kupata jibu?

Shirika la kilindo ya watoto -Mannerheimin lastensuojeluliitto, imeanzisha mradi kuzuia kutumia nguvu kuhusu heshimu ya mtu. Hii kazi inaitwa Amoral na wafanyakazi walifika Jyväskylä mwezi wa kumi mwaka 2007 kufundisha waofisa. Mwalimu-Fundi kazi ya Amoral Rebwar Karimi alieleza kwa waafisa kitu kwamba wahamiaji wengi wako na shida ya kutafuta na kupata sehemu zao katika Jamii. Wanaweza kuogopa tisho utamaduni mpya ambayo inataka kuingia ndani ya familia bila ruhusa. Njia ya kufundisha mtoto ambayo umechukua kama kweli kabisa inaonekana haifanyi kazi tena na hata labda imemarufuku kabisa katika utamaduni ya Finland. Hata kama kila mzazi inabidi kuwa mtu hodari katika kufundisha watoto wake, uzazi ya wahamiaji inaweza kupotea kwa muda mfulani. Wazazi wanaweza kuanza kutumia njia kali wakati kufundisha watoto wakati hawajui bado utamaduni mbele zao na wanaweza kuogopa. Wale ambayo hawawezi kusoma au hawaja soma sana wanaweza kupata shida kwasababu wanaweza kuingia kabisa ndani ya ndunia zao.

- Kama wazazi ya wahamiaji wanaona mbele zao mambo mabaya tu kama watu bila kazi, mpaguzi wa rangi au haraka ya kila wakati, tunaweza kuelewa kwamba wanataka kulinda watoto zao tukoka utamaduni mbya na tabia yake. Wanaweza kufikiri kwamba inabidi kuzuia mchichana asitembee sana au kukataa asikutane wavulana. Hii inaweza kukuwa kama kitu cha kuzuia tabia ambayo haina uugwna mzuri, mfanyakazi wa shirika la Amoral mwalimu Rebwar Karimi anaeleza. Karim anafikiri kwamba katika ugonvi ya kuheshimu upande wote wako kafara. Jibu kinaweza kutokea kama kijana wa familia ambayo amesumbuliwa sana anatumwa mahalipa nyumba ya usalama. Kufanya hivi inaweza kutoa hata zaidi hasira na uwezo kuleta ugomvi. Jibu cha kabisa inahitaji kusikiliza pande wote na kutafuta jibu kwa familia mzima. – Kitu kizuri ya kuzuia mpigano ni kusaidia wazazi wazoee katika utamaduni na waweze kuona upande mzuri ya mwanga pia. Wafanyakazi wa huduma ya jamii na wapolisi hawawezi pekeyao kupata jibu kwa maswali ya utamaduni. Katika mazumgumzo magumu wakalimani wa utamaduni na wanahitajikana kama shirika jamii la wahamiaji mzima. Katika pigano ya heshimu ya zamani na ya project mradi ”namna ya kuzuia mpigano ya heshimu” wameona kwamba shida inapata jibu wakati jamii ya wahamiaji wanafika wote kuongea kwenye meza moja. Kuongea ni wizuri kwasababu watu wa jamii wanaona kwamba wote hawaoni ”heshimu” aina mfulani ni muhimu sana. Kupata mfanyakazi wa ofisa Mfini inapatikana kushika madaraka shuhuli na mazumgumzo na kutafuta katika jamii mtu ambayo wengine wanaheshimu au mtu mwingine ambayo wengine wanakubali kusaisdia wasilisha katika mazumgumzo. Mara nyingi tunavyoita utamaduni na pigano ya heshimu ni kawaida pia utamaduni watu wanaongea pia. Kwa hiyo si vizuri kuacha kutumia uwezo wa kuongea, mfanyakazi mkuu wa mradi ulioisha Tanja Tauro.

Jyväskylä kijana katika mantiki ngumu anaweza kuita polisi moja kwa moja. Ni vizuri kukumbuka kwamba Finland kutisha kuua mtu ni jinai kubwa sana. Ikihitajikana wakati wote wa siku unaweza kuenda kupata msaada kutoka kituo cha dharura Mobile ambyo ni wazi saa 24 kwa siku. Anwani ni Asemakatu 2, ghorofa la 2. Namba ya simu: 014-625 960. Pia mradi ya Amoral inampa huduma kwa waofisa na wahamiaji. Namba cha kuita inapatikana chini na mwandishi pia ambacho imetumikwa hapa. Kwa kitu cha mwisho ninge taka kutumia maneno ya daktari Salman Asifi alipofika fudundisha siku ya nyuma: ” – Mimi nafikiri inabidi tuongee kuhusu hakuna heshimu katika mpigano. Kweli hakuna mtu aliopata heshimu njia ya kutumia nguvu,”

www.amoral.mll.fi
www.amoral.mll.fi/in_english/
www.amoral.mll.fi/kurdi/
www.amoral.mll.fi/farsi/
www.amoral.mll.fi/turk_e/

Sirkku Suikkanen, msaikoloji
Huduma kwa wahamiaji mji wa Jyväskylä

Siirry ylös


 

Яндекс.Метрика