Mpendwa msaikoloji, nahitaji msaidizi kuhusu shida wa mchichana wangu. Kwa umri yake yeye ni mchichana ambayo anageuka mwanamke. Katika masomo yake anaendelea vizuri na kufanya michezo pia. Sasa wakati wa mwaka huu masomo imeanza kuwa ngumu na yeye ameamza kujisikia tofauti. Yeye ako wasiwasi na ana kama mawazo mazito. Mimi naona kwamba amekonda sana na pia ninachangaa kwanini anapima sana kitu anayokula. Anakataa kukula chakula aina nyingi kwasababu anasema yanaleta uzito. Mara nyingi hataki au anaepuka kufika kukula chakula. Zamani wakati alikuwa mdogo shida kama haya haikutokea. Pia muda wa kukula chakula pamoja kama familia ilikuwa muhimu kwake. Hata alikuwa mnene kidogo. Kaka yake na baba yake hata walimchokoza yeye kuhusu hii kitu. Hata bado mchichana wangu anapika chakula pia kwa familia. Sasa wakati yeye amekonda sana hata marafiki wetu wengi hawamjui yeye ni nani wakimkutana njiani. Siku moja nilistuka kukundua kwamba mwili wake ni mfupa na ngozi tu. Inabidi mimi niwe na wasiwasi na inabidi nifayne nini? Lakabu ”mama”

Mpendwa lakabu ”mama”. inawezekana kwamba stress na mawazo mazito inaweza kufanya kwenye maisha ya mwanamke kijana onyo kama haya. Mwanamke ambayo anatamani na ambayo anafanya kila kitu kwa kamilifu anataka kuwa na mtu mwenye timilifu katika katika kila kitu. Pia kukuwa na mtu mrembo inataka uwe mwembamba na kitu kwamba baba na wakaka wamechokoza yeye kuhusu kukuwa mnene. Namna kama haya inaweza kufanya kwamba mtu anataka kutoa uzito ya mwili ambayo hataki. Shida ni kwamba kutoa uzito inaweza kupita kiasi na inaanza kuwa kama kitu cha lazima kufanya. Wakati hali ya mchichana wenu imebadilika sana inabidi kufanya vipimo mbali mbali na itakuwa vizuri kama utaweza pamoja na mtoto wako kuenda kuona daktari. Inawezekana kwamba ni usumbufu ya kukonda lakini inaweza kukuwa sababu nyingine pia.

Wakati tunaongea kuhusu usumbufu ya kukonda inatokea wakati uzito ya mtu ni zaidi ya 15 % chini ya uzito ya kawaida ya urefu. Hii pia tunaita kwa jina Body Mass Index BMI na inabidi isiwe na zaidi ya 17,5. Mnaweza kuhesabu pia kwa njia ya kugawa uzito ya mtu zaidi ya umri 16 kwa urefu cm2. Mtu alijye na shida ya kukula anajaribu kuhesabu chakula na kuacha kukula chakula ambayo inaleta uzito. Pia mteja huweza kutapika chakula alichokula, huweza kutumia dawa ya kuharisha au dawa ambayo inatoa maji ya mwili. Pia mgonjwa anaweza kufanya mazoezi ya mwili kupita kiasi. Kawaida mtu na shida anajisikia kama yeye ni mnene na anaogopa kupata uzito. Hii inafanya kwamba mtu anafanya uzito ya mwili chini ambayo anataka kufikisha. Hii kitu ni kwamba mtu anaona mwili yake vibaya kwasababu yeye haoni mwenyewe kamili na ukweli. Wakati uzito inapunguka sana siku za mwanamke inaweza kuacna kufika. Uzito ya mawazo ni kawaida pia na kwamba kitu inasonga kama ulieleza. Shida ya kwanza ni kupata mtu kuamini kwamba hali yake si sawa. Shida inafanana na mtu na shida na pombe. Katika shida kubwa inaweza kuwa ngumu kupata mtu kuamini na kuanza kufanya mabadiliko katika tabia ya kukula. Hii kitu cha kurekebisha uzito ya mwili ni kitu kimuhimu ya kufanya. Natoa shauri kwamba uongee kwa mchichana wako na ujaribu aende kwa daktari. Daktari wa kituo cha afya anakadiri kama inabidi kufanya hatua gani mwanzoni. Ni muhimu kwamba utakuwa pale pia kwasababu kupata picha cha kweli itakuwa ngumu kupata bila wewe. Kama inahitajikana mchichana wako anaweza kuenda kuona pia watu wengine wa hodari. Sasa kama mama uwe na macho sana. Ni muhimu kwamba usilete hali kuenda mbaya zaidi na ili shida ya kukonda iishe.

Sirkku Suikkanen
msaikoloji.

Наверх


 

Яндекс.Метрика