Mawazo mazito wakati wa kiza- kaamos na uchofu

Kwa sasa wapendwa wasomeaji mwandishi wa msaikoloji bila jibu ya kawaida nataka kuandaa habari kuhusu mawazo mazito wakati wa kiza na uchofu pia. Tangu mwaka 1960 vipimo ya watu na vipimo vya biology ya kichwa vimeonyesha kwamba pande moja ya watu walioishi kaskazini wanapata kila mwaka uzito ya mawazo ya aina mfulani. Sababu ni upungufu ya mwanga/ jua. Kama kwa mfano uzito ya mawazo ya wakati wa baridi, uchofu, shida ya kupata usingizi na hamu ya kukula chakula sana ya carbonhydrates inaongezeka unapoenda juu kutoka kusini. Wakati wa zamani wakati watu walilima machamba zao ilikuwa rahisi kuishi kwasababu kazi ngumu watu walifanya wakati wa mwanga, wakati wa joto. Siku hizi maisha ya kazi na shinikizo ya jamii ya nchi inaleta mvutano kwasababu inabidi kufanya kazi hata kama unasikia uchofu kwasababu ya kiza na inabidi kusoma masomo pia kama kawaida kipindi ya mwaka.

Uzito ya mawazo ya wakati wa kiza –kaamosmasennus inaonekana kama hakuna furaha na uzito ya mawazo. Mtu anakasirikakasirika, ana shida ya kulala vizuri na anaweza kupata mauvivu mbali mbali. Hamu ya chakula inaongezeka na uzito inaweza kuongezeka wakati wa baridi zaidi ya kilo tano. Chakula wapi kuna carbonhydrates nyingi kama pasta, mkate, chocolate watu wanapenda kukula sana. Hata ukikula sana unasikia kama hakuna nguvu ya kutosha. Mtu anajisikia uchofu sana kila wakati na kama kuenda kulala. Tena kumkutana na marafiki unajisia kama ngumu na unapenda kukaa peke yake tu.

Uzito ya mawazo ya wakati wa kiza- kaamos imehesabiwa kwamba asili 5-10% ya watu wa Finland wanapata hiyo shida. Onyo ndogo zaidi watu zaidi wana sema wana laumu. Wanawake wanapata hii zaidi kuliko wanaume. Wakati mtu anazeeka onyo inaongezeka wakati baridi inakaribia. Imehesabiwa pia kwamba kupata uzito ya mawazo wakati wa kiza- kaamos unaeza kupata kutoka baba/mama wako kwahiyo ile hakuji kwasabu ya wawazo ya maisha.

Tibu ya taa ya mwanga kubwa na mazoezi ya mwili imepimwa kwamba inasaidia wakati wa uzito wa mawazo wa wakati wa kiza. Tena madawa yanasaisi pia kwasabu inapunguza serotoniini kutoka mwilini. Kutumia taa ya mwanga kubwa kama tibu unaweza kutumia hata nyumbani pia. Maduka wanauza taa ya mwanga ambyo unaweza kuweka kama juu ya meza. Ni vizuri ukiweza kuketi mbele ya taa dakika 30-60 ukisha amka asubuhi kwa mara 3-5 kwa wiki. Usitumie kwa tibu jioni kwasababu inaweza kusumbua usipate kulala usiku na inasumbua mdundo ya kulala. Mwanzoni unaweza unaweza kupata mauvivu ya kichwa au onyo mengine na wakati huo ni vizuri kupunguza mwanga ya taa au kufupisha muda ya kuketi mbele ya taa.

Uzito ya mawazo aina yote na uchofu yote si kila mara kwasababu ya wakati wa kiza. Kama uzito ya mawazo inaendelea kwa muda mrefu ni vizuri kuongea kwa daktari ambayo anaweza kupima hali na kufukiri msaada au tibu mzuri.

ka   Sirkku Suikkanen
  Msaikoloji
  Huduma kwa wahamiaji
  habari zaidi kutoka: www.valohoito.fi
  Käännös: Keski-Suomen tulkkikeskus

Наверх


 

Яндекс.Метрика