tyMONIMESSI
mahalipa kahawa kwa watu kutoka utamaduni mbali mbali

kila Ijumaa 22.8 – 17.12
 saa 9.30 – 12
Sehemu ya shule ya Palapeli, ghorofa la pili
Anwani: Väinönkatu 1 B, Jyväskylä mjini

Katika Monimessi unamkuta na unapata kujua marafiki.
Kukuwa pamoja na kufanya michezo,
kwa watoto kuna vitu vya kuchezea,

kuongea lugha, chakula cha asubuhi kwa malipo.
Karibuni watoto na watu wakubwa
(wazazi, wazee…)!

ty
Habari zaidi:
Anu Juurakko simu 0400 344 163 anu.juurakko@mll.fi
Maia Fandi simu 050 355 5192  maia.fandi@jkl.fi

Pamoja na kiwanda cha familia Jyväskylä, Huduma kwa wahamiaji Jyväskylä, muungano ya Mannerheim katikati ya Finland kwa usalama ya watoto