Huduma za afya Jyväskylä

Kituo cha afya zinapatikana Kyllö (anwani: Keskusairaalantie 20), Mjini Jyväskylä (anwani: Tapionkatu 7), Kuokkala (Syöttäjänkatu 10), Huhtasuo (Nevakatu 1) na Säynätsalo (Parviaisentie 7). Kwa watu wote ambalo wana sehemu zao ya kuishi wana daktari na mwuguzi/nesi/infirmière ya binafsi.

Katika muda wa huduma wakati mahitaji ni wa haraka unapata huduma ukipiga simu asubuhi mapema Jumatatu-Alhamisi saa 8-9 na Ijumaa saa 9-10 kwa nasi/infirmiere yako. Namba inapatikana kwenye internet: www.jyvaskyla.fi/sote/terveys. Kwnenye namba za kupanga muda nasi/infirmiere anakujibu simu Jumatatu-Alhamisi saa 8-9 na Ijumaa saa 9-10. Baadaye saa 4 jioni na Jumamoshi na Jumapili kitua cha afya cha Kyllö wanampa huduma ja wakati wa usiku 11-08 Hospitali kuu ya Kati ya Finland, Keski-Suomi keskussairaala.

Kuanzia mwanzoni  wa mwaka 2008 Kituo cha afya cha Kyllö hampi huduma baadaya ya saa 4 jioni lakini Hospitali kuu ya Kati ya Finland, Keski-Suomi keskussairaala wanaendelea kumpa huduma. Kituo cha afya la kila eneo wana mpa huduma Jumatatu paka Ijumaa wakati wa kazi (8-4)

Wipimo vya laboratorio inachukuliwa katika mahalipa Laboratorio/ kipimo ya damu (anwani: Yliopistonkatu 38, daraza la 3).

Vipimo ya eksirei (x-ray) vinachukuliwa katika kituo cha afya ya Kyllö.

Huduma za magonjwa wa kichwa inapatikana katika vituo vya afya, Kituo cha chida kubwa Mobile na kliniki ya  psychiatria ya watu wa kubwa. Huduma ya afya ya kichwa inapatikana katika Neuvola ya Familia, A- kliniki na Ofisi wapi mambo na huduma inapatikana kwa familia. Huduma za hospitali inawezekana kununuliwa pia kutoka hospitali ya Kangasvuori wapi inahitajikana uwe na karatasi ya daktari hodari kutoka ofisi ya ugonjwa ya kicwa.

Anwani na namba ya simu ya Neuvola zote, Hospitali ya Watoto, inapatikana kutoka internet:  Huduma za afya Jyväskylä

Anwani na namba ya simu ya Neuvola zote, Hospitali ya Watoto, inapatikana kutoka internet:  www.jyvaskyla.fi/sote/terveys/neuvolat

Nambari ya simu ya Vituo vya afya

Nambari ya simu ya mwuguzi/nasi/infirmière yako:
www.jyvaskyla.fi/sote/terveys

Wakati ya kupanga muda kwa vituo vya afya:
Jumatatu-Alhamisi saa 8-4 na
Ijumaa 9-4

Vituo vya afya
Keskusta simu (014) 626 227
Kyllö simu 626 199
Säynätsalo simu 623 846
Kuokkala simu 626 317
Huhtasuo simu 626 299

Madaktari ya meno
Hannikaisenkatu simu (014) 626 100
Huhtasuon simu 626 072
Keljonkangas simu 626 078
Keskusta simu 626 081
Kuokkala simu 626 111
Kyllö simu 626 088
Säynätsalo simu 623 902.

Kutoka: Karibu Jyväskylä –gazeti, 2007
Ruhusa imekubaliwana kutoka ofisi ya wahariri

Ruhusa imekubaliwana kutoka ofisi ya waharir

Käännös: Keski-Suomen tulkkikeskus